SUMMER CAMP YA KIMATAIFA HISPANIA 2025 – FURSA YA KIPEKEE KWA VIJANA WA KITANZANIA

SUMMER CAMP YA KIMATAIFA HISPANIA 2025 – FURSA YA KIPEKEE KWA VIJANA WA KITANZANIA!
Unayo ndoto ya kuwa mwanasoka wa kulipwa barani Ulaya?
Je, unataka mtoto wako apate mafunzo bora ya soka akiwa kwenye mazingira salama, ya kisasa na ya kimataifa?
Hii ndiyo nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri kwa muda mrefu!
Spain Rush-SPF Football Academy, moja ya akademia maarufu zaidi nchini Hispania, inawalika wavulana na wasichana kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwa ajili ya Summer Camp ya kipekee majira haya ya joto 2025.
NINI KINAJUMUISHWA KWENYE PROGRAMU YA SUMMER CAMP?
- Mafunzo ya kila siku ya soka kutoka kwa makocha wa kiwango cha juu wenye leseni ya UEFA PRO
- Mechi za kirafiki dhidi ya vilabu vya Hispania na majaribio kwa ajili ya kusajiliwa
- Masomo ya lugha ya Kihispania na uongozi binafsi
- Malazi ya daraja la juu katika Sports Resort ya kisasa, chakula kamili na usafiri binafsi
- Ripoti ya maendeleo ya mchezaji, picha na video za kitaalamu
- Fursa ya kuendelea na masomo kupitia mfumo wa kimataifa
- Usaidizi kamili wa maandalizi ya VISA, safari na mapokezi uwanjani
MAHALI: Valencia, Hispania
TAREHE: Juni hadi Agosti 2025
UMRI: 12 hadi 21
KWANINI UCHAGUE SPAIN RUSH-SPF?
- Tuna zaidi ya klabu 80 washirika kote Hispania, baadhi yao wakicheza kwenye Divisheni ya Kwanza ya Vijana (Honor Division)
- Programu yetu inawaandaa vijana kwa maisha ya kitaaluma ya soka barani Ulaya na Marekani
- Ushirikiano wetu na Rush Soccer – klabu kubwa zaidi duniani, unafungua milango ya scholarship za soka kwa vyuo vikuu Marekani
- Imeshuhudia mafanikio ya vijana kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Nigeria, Ghana na Afrika Kusini
USHAHIDI HALISI:
"Mtoto wangu alijiunga na Summer Camp mwaka jana, sasa yupo kwenye klabu ya vijana ya Divisheni ya Pili Hispania. Hatukuamini kama inawezekana, lakini SPF wametufungulia mlango mpya wa maisha."
Mzazi kutoka Dar es Salaam
JINSI YA KUJIUNGA:
Nafasi ni chache – chukua hatua sasa!
Tunasaidia kila hatua: kuomba VISA, tiketi za ndege, maandalizi ya safari
Huduma kwa Kiswahili inapatikana!
WASILIANA NASI LEO:
WhatsApp: +34 673 373 005
Email: info@spanishprofootball.com
Website: www.spanishprofootball.com
Spain Rush-SPF – Tunakuandaa kuwa mchezaji wa kesho wa kimataifa!
Fursa haitaki uvivu – jisajili leo kwa Summer Camp ya kipekee Hispania!
INTERNATIONAL SUMMER CAMP SPAIN 2025 – A UNIQUE OPPORTUNITY FOR TANZANIAN YOUTH!
Do you dream of becoming a professional footballer in Europe?
Do you want your child to receive excellent soccer training in a safe, modern, and international environment?
This is the opportunity you've been waiting for! Spain Rush-SPF Football Academy, one of the most prestigious academies in Spain, invites boys and girls from Tanzania and East Africa for a unique Summer Camp this summer 2025.
WHAT IS INCLUDED IN THE SUMMER CAMP PROGRAM?
- Daily soccer training from top-level coaches with UEFA PRO licenses
- Friendly matches against Spanish clubs and trials for registration
- Spanish language lessons and personal leadership
- High-class accommodation in a modern Sports Resort, full meals, and private transportation
- Player progress report, professional photos, and videos
- Opportunity to continue your studies through an international system
- Full assistance with Visa preparation, travel, and airport reception
Details:
Where: Valencia, Spain
When: June to August 2025
Who: Boys & Girls ages 12 to 21 years old
WHY CHOOSE SPAIN RUSH-SPF?
- We have over 80 partner clubs across Spain, some of them playing in the First Youth Division (Honor Division)
- Our program prepares players for a professional football career in Europe and the United States.
- Our partnership with Rush Soccer – the world's largest club- opens the doors to soccer scholarships for universities in the United States
- We have experience taking players from Tanzania, Kenya, Uganda, Nigeria, Ghana, and South Africa to the next level.
REAL Testimonial:
"My son joined Summer Camp last year, now he is at a youth club in the Second Division in Spain. We didn't believe it was possible, but SPF has opened a new door to life for us." - Parent from Dar es Salaam
Space is limited – act now!
We help every step of the way: applying for a visa, flight tickets, travel arrangements
Service in Swahili is available!
CONTACT US TODAY:
WhatsApp:
+34 673 373 005
Email: info@spanishprofootball.com
Website: www.spanishprofootball.com
Spain Rush-SPF – We prepare you to be the international player of tomorrow!
This opportunity won't last long -
register today for a unique Summer Camp in Spain!


